Mchambuzi mahiri wa masuala ya soka hapa nchini Edo Kumwembe, amelazimika kufunguka na kutoa maoni yake kuhusu kile anachokiona juu ya mustakabali wa taifa la Tanzania
Kupitia ukurasa wake wa face book Edo amefunguka maneno magumu ambayo yanahitaji uelewa wa kutosha ili uweze kumuelewa. Hapa chini nimekuwekea alichokiandika kwenye ukurasa wake wa facebook