Upepo mkali unaodhaniwa kuwa ni kimbunga umeezua paa la jengo mojawapo la shule ya Msingi Lupila kata ya Lupila wilayani Makete mkoani Njombe hii leo kama picha hiyo hapo juu inavyoonesha
Taarifa kutoa shuleni hapo tunazidi kuzifuatilia ili kufahamu ni madhara kiasi gani yamesababishwa na tukio hilo, ambalo limetokea siku moja tu baada ya darasa la saba kumaliza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi
Picha na mdau wetu Mch. Luka Lwilla