Video ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA jangwani jijini Dar

Maelfu ya wanachama wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi Ukawa leo wamefurika katika viwanja vya jangwani jijini Dar es salaam kushuhudia uzinduzi rasmi wa kampeni kitaifa.

Bonyeza hapo chini uangalie Video


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo