Rais Kikwete amtambulisha Magufuli na Samia kwa wazee wa jiji la Dar Es Salaam

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala Dkt John Pombe Magufuli Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
 :Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
 Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee wa Dar es salaam  Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
 Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Samia Hassan baada ya kuongea na wazee wa Dar es salaam  Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Meza Kuu ikimfurahia jambo. PICHA NA IKULU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo