Picha: Ujenzi wa barabara ya lami Makete mjini







Picha hizi zinaonesha hatua mbalimbali za uwekaji lami Makete mjini, kama zilivyonaswa na mwandishi wetu hivi karibuni. Ikumbukwe kuwa serikali imesema zoezi hili litakamilika ndani ya mwezi huu wa nane


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo