Hivi wanawake TUMEROGWA?
Umemkuta ana MTOTO/WATOTO wa kutosha alafu unaona KUMZALIA Ndo ATAKUPENDA ZAIDI!??๐ณ๐ณ๐ณ
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015
Unataka kusema MWANAO anakuja na KIFURUSHI CHA BILA KIKOMO au!??๐ณ๐ณ๐ณ๐ณKama unazaa bora Uzae kwa Mapenzi yako Tu๐Wallah haimuhusu Mtu hii๐
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015
BABA ZETU,KAKA ZETU,WATOTO WETU hawaridhikagi๐๐๐ata umzalie Timu ya Mpira๐๐๐..!we zaa kutimiza NENO la Mungu kupendwa Majaaliwa๐
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015
๐๐๐๐naomba Mungu na mm nisije Kubugi aisee...Tumeona Mama zetu na dada zetu waliyoyapitia aisee https://t.co/JfgfsQErI9
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015
Nimejifunza Kwa watu Wangu wa karibu aisee..!Tunawapenda,Tunawaheshimu lkn...!๐bureeee kbsaaa https://t.co/td0eQiNbt2
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015
Au inawezekana mm kulelewa na Mzazi mmoja na kuona zile hustle zake kumeniharibu kiakili ๐
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015
๐๐๐๐๐๐basi ntazaa Kesho wifi ๐ https://t.co/V4uoE48qeS
— Elizabeth Michael (@OfficialLizyM) August 12, 2015