PICHA: Baadhi ya picha zikionesha nyumba iliyoungua na sehemu waliyozikwa jana wale watu 9 wa familia moja

PICHA: Baadhi ya picha zikionesha nyumba iliyoungua na sehemu waliyozikwa jana wale watu 9 wa familia moja wakiwemo watoto watano waliofariki kwa moto baada ya nyumba yao kuungua moto na wao kuungulia ndani eneo la Buguruni Malapa, Ilala jijini Dare es salaam.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo