Sema tu. Kama mliweza kumzushia Lowassa mambo mabaya na sasa mnamchekelea kuna kitu msichoweza nyie? https://t.co/XenYHA3qLR
— Kitila Mkumbo (@kitilam) August 12, 2015
Acha mipasho wewe, unajiabisha. Wafanyabiashara wa siasa wanajulikana. Au tumuite Dr Slaa aweke mambo hadharani? https://t.co/nVCWBkr90n
— Kitila Mkumbo (@kitilam) August 12, 2015
Aibu. Mnajilinganisha na chama chenye Mwaka mmoja. Ngoja nikuitie @hpolepole https://t.co/pDnp5ljqhh
— Kitila Mkumbo (@kitilam) August 12, 2015
Nawe unaweza kuita watu puppet seriously? Na haya mliyoyafanya bado hamjakoma kutuhumu watu ovyoovyo? https://t.co/mcGIGmrjWh
— Kitila Mkumbo (@kitilam) August 12, 2015
Wasanii ni nyie mliyemtukana miaka yote. Mmejaliwa kutokuwa na uso wa soni na aibu. Wenye akili zao wanawachora tu https://t.co/jwcRbsJaPG
— Kitila Mkumbo (@kitilam) August 12, 2015
Kuhakikishaje? Sisi ni wapiga kura? Kapambane na Ndugu Mwakalebela na Abwao. Usiwe na wasiwasi Don atakushika mkono https://t.co/RAAciqoL5F
— Kitila Mkumbo (@kitilam) August 12, 2015