Edward Lowassa ataja kilichompeleka CHADEMA

Lowassa: Nataka nichukue fursa hii kuwapongeza wale wenzangu waliojiunga nami, maamuzi magumu lazima yafanyike.

Lowassa: Watanzania wajue katika muungano huu tuna nguvu kubwa, nguvu ya kuweza kuchukua dola asubuhi oktoba 25.

Lowassa: Marafiki zangu na ndugu zangu mlioko Z'bar nawaambia hadharani kwamba nimejiunga na mtu ambaye havunji muungano

Lowassa: Kwa watu ambao wamehangaika juu ya nchi hii ni viongozi wa dini, Gwajima, Kakobe na wengine asanteni sana.

Lowassa: CHADEMA 'I came to join you for a reason; , kuwaondoa CCM madarakani

Lowassa: Nataka kuwahaidi kuwa nitapita kila jimbo la nchi hii, kwahiyo unapoondoka hapa kajiandae katika jimbo lako.

Lowassa: Niliwahi kuwaambia waandishi wa habari kwamba sina msamiati wa kushindwa

Lowassa: Mchaka mchaka .....chinja... Aluta continue ..Nawashukuruni sana kwa kunisikiliza. Tutakutana kwenye majimbo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo