Bibi huyu ageuka Gumzo baada ya kuibuka kwenye mkutano wa UKAWA Iringa

Bibi huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa kwenye mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Iringa jana, huku akiwa amejivisha bango la kauli mbiu isemayo "Watanzania wanahitaji mabadiliko" jambo lililowashangaza watu wengi waliofika mkutanoni hapo 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo