Rose Muhando anadaiwa kumkimbia meneja wake, Alex Msama licha ya kuwepo kwa makubaliano kati yao yaliyohusu kulipiwa deni la kiasi cha shilingi milioni sita alizokuwa akidaiwa msanii huyo mwenye jina kubwa.
“Meneja wake alikubali kumlipia pesa zote (6,500,000) ambazo Rose alikuwa anadaiwa baada ya kushindwa kuhudhuria tamasha moja huko mikoani, alitakiwa baada ya siku chache aingie studio kufanya kazi, lakini ametoweka na haifahamiki yupo wapi,” kilisema chanzo chetu.
Source GPL
