Kauli 3 kutoka kwa Dr. Wilbroad Slaa kuhusu CCM na ubora wake

Kwenye mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka kwa walichoandika watu mbalimbali maarufu wa Tanzania, zipo pia hizi tweets za katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa.
Ameandika >>> ‘Siku ambayo Watanzania watatambua kwamba walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo, na kujua kwamba kikwazo ni CCM na kukiondoa haiko mbali, hakuna msafi CCM, wala hii si habari mpya… ubora wa CCM ulizikwa na Azimio la Zanzibar 1994, kwa mara nyingine tena tunapaswa kuamua
Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi‘ – Dr. Slaa.Dr SlaaDr Slaa 2


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo