Mgombea urais wa CCM, Mhe. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Samiah Suluhu Hassan (pichani juu) kuwa mgombea mwenza katika kinyang’anyiro cha urais 2015.
Kama CCM ikiibuka kidedea uchaguzi mkuu 2015, huyu ndio atakuwa makamu wa Rais
By
Edmo Online
at
Sunday, July 12, 2015