kikao cha CCm kimeahirishwa mpaka saa nne asubuhi, ni mara baada ya zoezi la kupiga kura kumalizika, na baada ya hapo kazi ya kuhesabu kura imeanza, lakini mwenyekiti wa CCm Dkt Jakaya Kikwete ameahirisha kikao hicho
"maneno si ndiyo hayo, naahirisha kikao mpaka kesho saa nne asubuhi" amesema Kikwete
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kikao kuahirishwa mpaka kesho saa nne asubuhi. #KaribuDodoma
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) July 11, 2015