Muonekano wa basi la Kidia One baada ta kupata ajali jijini Mwanza.
Basi la Kidia One lenye namba za usajili T 449 ASZ limepata ajali leo asubuhi maeneo ya Mkolani, jijini Mwanza hakuna abiria aliyepoteza maisha.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi