BILL CLINTON ATUA BONGO, AKUTANA "LIVE" NA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam April 28, 2015.
Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton (kushoto) Ikulu jijini Dar. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini  kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiliwa na taasisi za Clinto Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo