KIPINDI CHA MBONI SHOW CHATIMIZA MWAKA MMOJA

Mheshimiwa mstahiki Meya Jerry Slaa akikaribishwa na mtangazaji wa Mboni Show, Mboni Masimba akiingia katika Hospitali ya Amana
2.    Mboni akiwa katika picha ya pozi na Mheshimiwa.
Mh.Jerry Slaa akiwa salimia wafanyakazi wa Hospitali ya Amana
Mboni akimkaribisha Mh. Mahali palipoandaliwa.
Mboni akisaini karatasi ya wageni.
…. Akimkambidhi mganga mkuu wa Hosiptali hiyo Meshack karatasi.
Mganga Mkuu Meshack akiongea jambo.
Mboni akiongea jambo.
 
Moja misaada aliyoikadhi  Mboni ambayo ni mizani ya kupimia ya kina mama.
Mh Jerry Slaa akiongea jambo.

Kitanda cha wagonjwa ambacho akilikikabidhi Mboni.
 
Keki ya kutumiza mwaka mmoja ya Mboni Show.
Mboni na Jerry wakijadili jambo.
 
Mama mzazi wa Mboni ( Kwanza kushoto) Alua, Mboni , Mh Jerry na mganga Mkuu Meshack wakishika kisu kwa pamoja kwaajili ya kukata keki.
Mboni akitoa neno la  shukrani  kwa wadau.
 
Watu mbalimbali walioudhuhuria  katika Hospitali ya Amana.
Mwanamuziki Mwasiti akiimba
 
Baadhi ya misaada iliyotolewa.
 
Mboni akiwa na rafiki yake Halima.
 
Moja ya mashine iliyokabidhiwa.
 
Bi Chau alikuwepo.
 
Adamu Malele(Swebe)
 
Mboni akiwa na Mad Ice
Mwasiti na Swebe tayari kwaajili ya kupaka rangi.
 
Mboni akiwa na kundi lake wakiajiandaa kupaka rangi.
 
Mboni akipaka rangi.

Kipindi cha Mboni Show kinachoongozwa na mtangazaji Mboni Masimba, kupitia televisheni ya East Afrika tayai kimeshatimiza mwaka mmoja tangu kianzishwe  na kuweza kuwasaidia watu mbalimbali.

Badala ya kwenda kwenye kumbi mbalimbali za starehe kwaajili ya kujipongeza Mboni na kundi lake walielekeza macho yao katika Hospitali ya Amana ambapo walitoa misaada mbalimbali kwaajili ya kujifungulia wa kina mama  huku Mheshimiwa Mstahiki Meya Jerry Slaa akiwa ndio mgeni rasmi wa Bethidei hiyo.

credits:GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo