skip to main |
skip to sidebar
UDSM YAPOTEZA WANAFUNZI WATANO KATIKA AJALI YA BASI LA MAJINJA ILIYOTOKEA JUZI ENEO LA MAFINGA
Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea juzi
Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha.
WALIOFARIKI WATANO NI
1. CHIWANGU DIDIMO (mwaka wa 3)
2. KILLEO ERICK ( mwaka wa 3)
3. SOSTEN DAUD (Mwaka wa 3)
4. WATSON JEREMIA (Mwaka wa 2)
5. MBAULE FRANK (Mwaka haujajulikana)
MAJERUHI WAWILI
1. TUPATE MOSIGWA (Mwaka wa 1)
2. RAPHAEL NELBERT (Mwaka wa 1)
Tunawapa pole wafiwa na Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi ..
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi