MAJAMBAZI WAPORA SILAHA NA KUFANYA UPORAJI JIJINI DAR

Raia waliokuwepo eneo la tukio wakishangaa.Duka la vinywaji lililoibiwa.Sehemu ambayo majambaji wameiba silaha Bunduki aina ya Short Gun.
 Askari akiwa ndani ya duka la vinywaji akifanya mahojiano na wahusika.

 VITENDO vya ujambazi vinazidi kushika kasi kwenye jiji la Dar, ambapo tukio jingine limetokea leo mishale ya saa kumi jioni maeneo ya Mikocheni Kwa-Mwalimu Nyerere baada ya watu wanne kutinga eneo hilo wakiwa  na pikipiki na kumpora mlinzi silaha aina ya Short Gun aliyekuwa akilinda kwenye ATM ya CRDB.  Majambazi hao waliitumia bunduki hiyo kwa kuvamia duka la vinywaji lililokuwa jirani na kuiba kiasi kikubwa cha pesa japo hakikuweza kufahamika kwa wakati huo.(HABARI/PICHA: MAYASA MARIWATA NA SHANI RAMADHANI/GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo