ABDUL BONGE WA TIP TOP CONNECTIONS AFARIKI DUNIA

Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia March 28.
bongeee
Abdul Bonge enzi za uhai wake
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na  eddy blog kwa taarifa zaidi.
Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo