Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la
aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki mwaka jana katika eneo
la maziko ya viongozi wa kitaifa jijini Lusaka Zambia.Rais Kikwete
alitumia wasaa huo pia kuweka shada la maua katika marais wa Zambia
waliofariki Marehemu Frederick Chiluba na Levy Mwanawasa. (picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete aweka shada la Maua katika makaburi ya Marais Lusaka Zambia
By
Edmo Online
at
Friday, February 27, 2015