skip to main |
skip to sidebar
PROF LIPUMBA KIZIMBANI NA WANACHAMA WAKE, ANGALIA PICHA HIZI
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba na wanachama wengine wakiwa eneo la mahakama.
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF,
Profesa Ibrahim Lipumba, Jana amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za kukiuka
agizo la jeshi la polisi na kuandamana.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi