Hizi teknolojia zinatupeleka mbali sana
kiukweli, juzi tu kulikuwa na story ya
viatuvinavyojifunga kamba, leo kuna huu mkanda, huna haja ya kuulegeza
ama kuukaza, hayo yote unafanya wenyewe.
Mkanda huo uliobuniwa Paris
unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya
kuuweka sawa, utakaa wenyewe size sana na kiuno kilivyo, au unapokaa
chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo mtu wangu.
Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES), hawajasema ni lini utaingia sokoni lini na kuuzwa bei gani.

Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi