skip to main |
skip to sidebar
TUKIO LA UJAMBAZI,MLANDEGE ZANZIBAR LEO KATIKA PICHA

MKUU wa Polisi Wilaya ya Mjini, Ali Makame (wa pili kushoto)
akiangalia gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro
elfu moja na shilingi za kitanzania milioni tano, muda mfupi baada ya
kufika eneo la tukio katika eneo la Mlandege mjini Zanzibar.
ASKARI Polisi wakiwa wameizunguka gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa
zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu moja na shilingi za kitanzania milioni
tano, tukio hilo limetokea majira ya saa saba mchana katika eneo la
Mlandege mjini Zanzibar leo. Mmiliki wa gari hiyo aliegesha gari yake na
kuingia msikitini kwa kusali sala ya Ijumaa katika msikiti jirani na
maengesho ya gari katika eneo la mlandege. (Picha na Haroub Hussein).
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi