LORI lililokuwa limebeba Mafuta ya Petroli, limepinduka leo jioni na kumwaga mafuta katika makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa jijini Dar es Salaam. Hakuna aliyedhurika katika ajali hiyo.
LORI LA MAFUTA LAPINDUKA JIJINI DAR ES SALAAM
By
Edmo Online
at
Friday, December 19, 2014