Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya
Mrisho Kikwete amemteua Profesa Justice Ibrahim Juma kuwa mwanasheria
mkuu wa serikali (AG).
Uteuzi huo umefuatia baada ya aliyekuwa mwanasheria mkuu Frederick
Werema kutangaza kujiuzulu kutokana na skandali ya mabilioni ya akaunti
ya Escrow.
Mapema mwezi huu Rais Jakaya Kikwete pia alimteua Profesa Juma Assad
(CAG) kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali baada ya Ludovick
Utouh kumaliza muda wake
