Hili ni eneo la mzunguko karibia na stendi kuu ya mabasi Mkoani Dodoma, maji yamejaa barabarani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mkoani hapo usiku wa kuamkia leo kama ilivyokutwa na mwandishi wa mtandao huu leo asubuhi(Picha zote na Edwin Moshi wa Eddy Blog)
PICHA: MADHARA YA MVUA ILIYONYESHA LEO ASUBUHI MKOANI DODOMA
By
Edmo Online
at
Sunday, December 21, 2014





