PICHA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA KIBADA KIGAMBONI JIJINI DAR HII LEO

Mwili wa Aisha Madinda ukishushwa kaburini.
Maziko yakiendelea.
Waombolezaji wakiweka udongo katika kaburi la Aisha Madinda.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Aisha Madinda kuelekea makaburini.
Waombolezaji wakiwa makaburini.

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda umezikwa jioni hii katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar wamejitokeza na kuhudhuria maziko ya msanii huyo aliyefariki dunia juzi.

Mungu ailaze roho ya marehemu AISHA MADINDA mahali pema peponi. AMEN.

(PICHA ZOTE: GABRIEL NG'OSHA NA DEOGRATIUS MONGELA,


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo