KUNDI LA KAOLE KURUDI TENA UPYA KUPITIA TV YAKO, SASA WAMEBADILI NA JINA KABISA

11kaoneUnaposikia jina Kaole Sanaa Group kama ulikua mfatiliaji wa michezo ya kuigiza kwenye TV ni lazima utawakumbuka kina Muhogo Mchungu, Kingwendu na wengine ambao tuliwafahamu sana miaka ya nyuma ambapo sanaa ya uigizaji ilipoanza kupata umaarufu nchini na baadaye tukashuhudia sanaa hiyo ikikimbiwa na waigizaji wote kuingia kwenye biashara ya filamu.

Sasa good news ya leo ni kwamba Kaole wameamua kurudi kazini kama kikundi lakini time hii watatumia jina jingine ambalo ni Kaone huku Mwenyekiti wao ambaye ni Thea akiongea kwenye exclusive na millardayo.com.

‘…Tumeamua kujikusanya 12 na tumeamua kuanza na tamthilia yetu ya kwanza tuliyoipa jina la kipusa ambayo itakuwa ikuhusisha watoto wadogo lakini zaidi itakua ikihusisha mambo ya kisiasa…‘– Thea.
14kaone
13kaone
12kaone
11kaone
10kaone
8kaone
7kaone
1kaone


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo