Baada ya ukimya mrefu, Ray C anakualika kuisikiliza hii single yake mpya

.
Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki time hii amerudi rasmi  na hii single mpya yake Mshum Mshum ambayo unaweza kuisikiliza au kuidownload kwa kubonyeza hapa >>>  HAPA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo