Kundi
la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia rasmi audio
ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond Platnmuz. Katika
wimbo huo uitwao ‘Alive’ ambao video yake imefanywa wiki chache
zilizopita nchini Afrika Kusini, ameshirikishwa pia msanii wa kike wa
Nigeria, Tiwa Savage.
Jaribu kuusikiliza jinsi Diamond alivyotisha humo.
Jaribu kuusikiliza jinsi Diamond alivyotisha humo.
