skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND, ZALI WAKIPATA CHAKULA CHA USIKU
Mfanyabiashara
mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady'
(wa tatu kulia) akipata chakula cha usiku na wageni wake wakiongozwa na
staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) usiku wa kuamkia leo nchini Uganda.
Diamond Platnumz (katikati) akiongea na Dj Romy Jons.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi