skip to main |
skip to sidebar
ANGALIA PICHA KILICHOTOKEA MSITU WA MAFINGA IRINGA MCHANA WA LEO
Wakati Leo Mkoa wa Iringa unaadhimisha wiki ya usalama barabarani
yenye kauli mbiu maamuzi yako barabarani ni hatima yetu - fikiri kwanza
- Ajali mbaya msitu wa miti wa Mafinga Iringa mcaha huu. Kwa mujibu wa
habari zilizotikia aliyepoteza maisha ni Yunith Gwamaka Mwakenja
,majeruhi ni Dereva wa gari hilo ambaye nu mhadhiri wa chuo cha Tumain
makumira Tawi la Mbeya Bw Gwamaka Mwakenja pia majeruhi mwingine ni
Joyce Fredy. Wengine wametibiwa na kuruhusiwa. Chanzo inasadikika kuwa
ni mwendo kasi na gari kuacha njia kwa sababu ambazo bado
hazijajulikana na kupinduka.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi