Vijana wawili mvulana na msichana nchini Nigeria wameshikishwa adabu ya kuchapwa viboko, baada ya kukutwa wakifanya mapenzi mchana kweupe kwenye eneo moja la wazi
Taarifa zinasema wamepatiwa adhabu hiyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo
Hata hivyo adhabu hiyo haikubagua hata mmoja, kwani wote wamecharazwa bakora makalioni bila kujali msichana wala mvulana na fimbo iliyokuwa ikitumika ni kubwa kupita kiasi
Angalia video ya tukio hilo hapa chini