Mtoto Mlemavu wa Ngozi
(Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya
kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya
mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa
katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba
14 mwaka 2011).


