AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA COASTER MKOANI MOROGORO

Askari wa usalama barabarani wakipima eneo la ajali.

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Mgogo, ambaye ni dereva  wa bodaboda amegongwa gari na kufariki papo hapo, jioni hii mkoani Morogoro.Gari iliyomgonga dereva huyo ni aina ya Coaster  inayofanya safari ya Kihonda Mjini mkoani humo.

(PICHA NA GLOBAL PUBLISHERS)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo