TAZAMA VIDEO IKIMUONESHA EZDEN AKIZUNGUMZIA SABABU YA NDOA YAKE NA DIDA KUVUNJIKA

Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe, Ezden Jumanne siku ya harusi yao.

Baada ya ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne amefunguka mengi kuhusu sababu za kuvunjika ndoa hiyo. Ili kujua ni nini amezungumza, ungana na Global TV Online


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo