MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYANI MAKETE, MIRADI YA MAMILIONI YA FEDHA YAPITIWA

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akipokea mwenge wa uhuru wilayani mwake katika kijiji cha Kimani kata ya Mfumbi wilayani hapo jana Juni 30, 2014
 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akikiri kupokea mwnge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
 Wakiagana na kutakiana kila la heri.
Wakijiandaa kuondoka eneo la makabidhiano ya mwenge wa uhuru 2014. Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia muda si mrefu sana.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo