Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja
anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili (pichani ) amekutwa na maiti ya
mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitano katika mji wa Lagos nchini
Nigeria mapema leo asubuhi.
Mbali na kukutwa na maiti ya mtoto huyo,kichaa huyo pia amekutwa na rundo la hirizi
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi