Meneja wa kampuni ya MEM AUCTIONEERS AND GENERAL BROKERS LTD
akizungumza na waandishi eneo la tukio na kuelezea jinsi
wanavyotekeleza amri ya mahakama.
Mfanyabishara mmoja aliyejulikana kwa jina la Moses akijaribu kuokoa vitu vyake bila mafanikio.
Wafanya biashara wakitoa bidhaa zao kwenye maduka hayo