PICHA: MAJAMBAZI YAUA, DAMU ZATAPAKAA ARUSHA

Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. 

Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo