Leo imetokea ajali ya gari aina ya Lori lililoanguka karibu na daraja
la kwenda Kongowe jijini Dar es Salaam. Picha zote na Yvonne Mhando wa
Kajunason Blog.
Askari wa usalama barabarani akipima ajali na kuandika ripoti.