Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo na
abiria baada kutaka kupindua daladala hiyo karibu na stendi ya mnazi
mmoja, kichapo hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.
Kamera ilinasa picha za kisanga hicho…

Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.

Daladala aliyoitaka kuipindua.

deiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.
Picha zote kwa mujibu wa taarifa news
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi