NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AUAWA NA WANANCHI SAKINA ARUSHA SHUHUDIA PICHA ZOTE HAPA


 Chatu akiwa anatamba pembeni ya ukuta kuingia ndani ya nyumba
 Chatu huyo akiwa ametumbukia ndani ya nyumba Hiyo maeneo ya sakina mkoani arusha
 Hicho ni kitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo kwa nyuma kikiwa kina maandishi mekundu.
 Hapa ni chatu huyo akiwa amekatwa katwa baada ya wanainchi kumuua leo maeneo ya sakina mkoani arusha
Kwa mbaliii nikitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani arusha Leo walipatwa na mshtuko mkubwa bada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.
Kwa mujibu wa Arusha yetu blog ni kwamba wakazi hao wakaanza kumvizia chatu huyo na kutaka kumpiga lakini utata ukaibuka baada ya kudaiwa mama mwenye nyumba hiyo kusema wasimuue kwani ni mtoto wake,Lakini majirani hao hawakukubali ndipo walimkamata na kumuua kwa kumkata kata vipande


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo