Ujenzi wa kalavati eneo la Kona Makete mjini ukiendelea, inadhaniwa ni maandalizi ya ujenzi wa barabara ya lami Makete mjini kama ilivyotamkwa na serikali miaka kadhaa iliyopita.
Mafundi wakiwa kazini kwenye kalavati eneo la Sokoni, makete mjini.
Barabara ya mbadala iliyotengenezwa kuwezesha watumiaji wa barabara kupita, ikiwa na vumbi kama inavyoonekana
Mtoto akifurahia gari linavyopita huku likitimua vumbi.
Mafundi wakiwajibika kujenga makalavati makete mjini (Picha zote na Eddy Blog)




