MZEE SMALL KUZIKWA KESHO JUMATATU KATIKA MAKABURI YA SEGEREA

MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. 
 
Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo