BASI LA KAMPUNI YA CITY BOY EXPRESS LAGONGA MTU WAKATI LIKITOKA DAR KUELEKEA KAHAMA, TAZAMA PICHA

Basi la kampuni ya City Boy lililokuwa linatoka jijini Dar es Salaam kwenda kahama mkoani Shinyanga limepata ajali kwa kumgonga mtembea kwa miguu, na kumjeruhi kiasi ambacho hsuhuda wa eddy blog aliyetutumia habari hii kuhisi kuwa mtu huyo alipoteza maishs papo hapo. 

Kwa mujibu wa chanzo chetu ni kwamba ajali hiyo imetokea jana jumamosi Juni 7, 2014 katika kijiji cha Makomero wilaya ya Igunga mkoani Tabora. 

Hakuna abiria aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha kufuatia ajali hiyo. (Picha na Eddy Blog WhatsApp)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo