Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika
zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na
mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani
wa Diamond.
Kitale akizungumza Global TV hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo,
ambao uliambatana na picha zinazo muonyesha Penny akimbusu
Kitale.
“Penny mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae ,
mimi nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa
yangu”Alisema Kitale.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi