Magari matatu yamegongana kwenye makutano ya Barabara ya Ubungo-Mabibo Mwisho na Barabara ya External jijini Dar es Salaam.
Ajali hiyo imelihusisha gari dogo lenye namba za usajili T 218 CVK,
Canter lenye namba za usajili T 820 BYR na Lori lenye namba T 779 AWC.
Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube