Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali
Taarifa
zilizotufikia hii leo kutoka Igurusi Mbeya zinasema Basi la New Force
lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo
la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo.
Imeelezwa kuwa watu hao wanaodaiwa kupoteza maisha walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine zaidi ya 30 ambao wamekimbizwa Hospitali na kusaidiwa kupata matibabu.
Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia hapa hapa .......